|
|
Badilisha maisha yako
Badilisha moyo wako
Badilisha aina ya chakula chako
♥~~~~~~♥
Usiuwe tena
Muje na afya pia na mapendo
|
|
Mifano ya vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya kuokoa maisha yako:
|
|
Kiwango cha protini
(Asilimia kwa uzito)
|
|
|
Unga wa soya (Tofu from soya) |
|
|
|
16 %
|
|
70 %
|
|
Mahindi au unga wa mahindi (Corn or Corn flour)
|
|
13 %
|
|
8.6 %
|
|
Aina mbalimbali za maharage kama vile:
Soya, kidney, chick peas, lentils, n.k.
|
|
10 - 35 %
|
|
Aina mbalimbali za Karanga kama vile:
njuga karange, walnuts, korosho, hazel nuts, pine nuts,
n.k.
|
|
14 - 30 %
|
|
Aina mbalimbali za mbegu kama vile:
malenge, sesame seeds, sunflower seeds, n.k.
|
|
18 - 24 %
|
|
|
kutumia vidonge vya mchanganyiko wa vitamini kama chanzo kingine cha vitamini na
virutubisho vya mwili.
|
|
Mboga na matunda zina utajiri mwingi wa vitamini na virutubisho mbalimbali kwa ajili ya
kujenga mwili wako, ili uwe na afya tele, na maisha marefu.
|
|
Kiwango kinachopendekezwa kwa siku ni: gramu 50 za protini (kwa mtu mzima)
|
|
Madini ya Kalsiamu kutoka kwenye mbogamboga inachukuliwa vizuri zaidi na mwili
ukilinganisha na ile itokanayo na maziwa ya ng’ombe.
|
|
|
|
|
|
Kupunguza tishio la homa ya ndege duniani,
|
|
Kuepuka hatari ya ugonjwa wa kichaa cha ng’ombe (BSE) na pia ugonjwa wa
nguruwe (PMWS), n.k.
|
|
Kuzuia mauaji ya kila siku ya wanyama mbalimbali kama vile wale wanaofugwa,
wanyama pori na wale wa majini na ndege wa angani.
|
|
Ni busara kubadilisha mtindo wako wa kula kwenda kwenye
matunda na mboga kwa maisha yako yote. Kwa kufanya hivyo: |
|
Utakuwa na afya bora
Utaongeza uchumi wako
Utalinda mazingira yako
Utaonyesha kujali watu
wengine na
hivyo kudumisha amani
Utakuwa na amani ya kweli
Itakuwa ni kitu chenye thamani kuu |
|
|
|
Kwa habari zaidi tafadhali rejea tovuti iliyotajwa hapa chini:
|
http://AL.Godsdirectcontact.org.tw Ao andika baruwa pepe kwa AL@Godsdirectcontact.org
http://www.vrg.org/ |
Mifano ya walaji mashuhuri wa mbogamboga na matunda duniani
|
|
Wana Falsafa na Viongozi wa Dini
|
Dalai Lama wa Tibeti -Mtakatifu wa kumi na nne (Kiongozi Mkuu wa dini, Tibeti), Paramahansa Yogananda (Mwalimuwa dini, wa KiHindi), Socrates (Mwanafalsafa wa Kigiriki), Yesu Kristu na Wakristu wa kale, Confucius (Mwanafalsafawa Kichina), Shakyamuni Buddha, Lao Tzu (Mwanafalsafa wa Kichina), St. Francis of Assisi (Mtakatifu Francis wa Assisi, Italia), Thich Nhat Hanh (Padri wa Kibudha na Mwandishi, Vietnam), Yogi Maharishi Mahesh (Mwandishi, Mwanafalsafana Mkuu wa mwanataaluma wa meditesheni, wa KiHindi), Leo Nikolayevich Tolstoy (Mwanafalsafa wa Kirusi), Pythagoras (Mtaalamu wa hisabati na Mwanafalsafa wa Kigiriki), Zoroaster (Mwanzilizi wa Zoroastrianism, Iran), n.k.
|
|
Waandisi, wachoraji na wapaka rangi. |
Leonardo Da Vinci (Mpaka rangi wa Kitaliani), Ralph Waldo Emerson (Mwandishi na Mwanamshairi wa Kimarekani), George Bernard Shaw (Mwandishi wa Ki-Irish), John Robbins (Mwandishi wa Kimarekani), Mark Twain (Mwandishi wa Kimarekani), Albert Schweitzer (Mwanafalsafa, Mganga wa viungo mwili na Mwimbaji wa Kijerumani), Plutarch (Mwandishi wa Kigiriki), Voltaire (Mwandishi wa Kifaransa), n.k.
|
|
Wanasayansi, Wavumbuzi na Wahandisi
|
Charles Darwin (Mtaalamu-asilia wa Kiingereza), Albert Einstein (Mwanasayansi wa Kijerumani), Thomas Edison (Mwanasayansi na Mvumbuzi wa Kimarekani), Sir Isaac Newton (Mwanasayansi wa Kiingereza), Nikola Tesla (Mwanasayansi na Mvumbuzi wa Kroasia), Henry Ford (Mwaanzilishi wa kampuni ya magari ya aina ya Ford, Mmarekani),N.k.
|
|
Wanasiasa, Wakuu wa Nchi na wanaharakati
|
Susan B. Anthony (Kiongozi wa harakati za sauti za wanawake, Mmarekani), Mahatma Gandhi (Mkuu wa harakati na hakiza Raia, wa kiHindi), Coretta Scott King (mwanaharakati na mkewe wa Martin Luther King ,Jr Mkuu wa harakati za haki ya raia ku Marekani), Rais Janez Drnovsek wa Slovenia, Dr. A. P. J. Abdul Kalem (Rais wa India), Dr. Manmohan Singh (Waziri Mkuu wa India), Dennis J. Kucinich (Mwenyekiti wa kongresi ya Marekani), N.k.
|
|
Waigizaji, Wacheza sinema mashuhuri na televisheni
|
Pamela Anderson (Mchezaji Mmarekani), Ashley Judd (Mchezaji Mmarekani), Brigitte Bardot (Mufaransa mchezaji), John Cleese (Mchezaji Mwingereza), David Duchovny (Mchezaji Mmarekani), Danny Devito (Mchezaji Mmarekani), Cameron Diaz (Mchezaji Mmarekani), Richard Gere (Mchezaji Mmarekani), Daryl Hannah (Mchezaji Mmarekani), Dustin Hoffman (Mchezaji Mmarekani), Katie Holmes (Mchezaji Mmarekani), Steve Martin (Mchezaji Mmarekani), Demi Moore (Mchezaji Mmarekani), Ian McKellen (Muigizaji Mwingereza), Tobey Maguire (Mchezaji Mmarekani), Paul Newman (Mchezaji Mmarekani), Brad Pitt (Mchezaji Mmarekani), Gwyneth Paltrow (Mchezaji Mmarekani), Joaquin Phoenix (Mchezaji Mmarekani), Steven Seagal (Mchezaji Mmarekani), Brooke Shields (Mcheza modeli na mwigizaji), Jerry Seinfeld (Mchezaji Mmarekani), Naomi Watts (Mchezaji Mmarekani), Kate Winslet (Mchezaji Mwingereza), N.k.
|
|
Wanamuziki mashuhuri wa muziki aina ya Pop na waimbaji maarufu
|
Joan Baez (Mwimbaji Mmarekani), George Harrison (mwimbaji mwingereza, memba wa bendi ya "beatles"), Paul McCartney (mwimbaji mwingereza, memba wa bendi ya "beatles"), Ringo Starr (mwimbaji mwingereza, memba wa bendi ya "beatles") , Bob Dylan (Mwimbaji Mmarekani), Michael Jackson (Mwana-pop mashuhuri wa Kimarekani), Morrissey (Mwimbaji Mwingereza), Olivia Newton John (Mwimbaji mwingereza-wa Australia), Sinead O'Connor (Mwimbaji wa Ki-Irish), Pink (Mwimbaji wa Kimarekani), Prince (Mwana-pop mashuhuri wa Kimarekani), Justin Timberlake (Mwana-pop namwimbaji mashuhuri wa Kimarekani), Tina Turner (Mwana-pop mashuhuri wa Kimarekani), Shania Twain (Mwimbaji wa Canada),Vanessa Williams (Mwana-pop na mwimbaji mashuhuri wa Kimarekani), N.k.
|
|
Wanamichezo
|
Billie Jean King (Bingwa wa mchezo wa Tenesi, Mmarekani), Bill Walton (Mchezaji wa mpira wa vikapu, Mmarekani), Carl Lewis (Mshindi wa medali tisa za dhahabu katika michezo ya Olimpiki, Mmarekani), Edwin C. Moses (Mshindi wa medali mbili za dhahabu katika michezo ya Olimpiki, Mmarekani), Elena Walendzik (Bingwa wa masumbwi, Ujerumani), Alexander Dargatz (Bingwa wa Riadha, misuli na viungo mwili, Mjermani), n.k.
|
|
Wanamitindo
|
Christie Brinkley (Mwanamitindo maarufu, Mmarekani), Christy Turlington (Mwanamitindo maarufu, Mmarekani), n.k.
|
|
Na daftari ina endelea… http://AL.Godsdirectcontact.org.tw/vg-vip
|
|
Trackback URL : http://al.godsdirectcontact.org.tw/bbs/tb.php/al/200
*
|
| | |